Jamaa mwenye miwani anaitwa Benard Membe, Mbunge wa Mtama akiwapa hi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Nachingwea nje ya ukumbi.
Unamjua huyu? Anaitwa Mzee Ali Mtopa, Chairman wa CCM Mkoa Lindi na Chairman wa Machairmen wa CCM Mikoa yote. Hapa alikuwa akimwaga nasaha kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo Nachingwea wikiendi iliyopita.
Na hawa? Sehemu ya wajumbe zaidi ya 820 wa Mkutano huo wakimsikiliza Mzee katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea a.k.a Nachi.
Na hawa? Sehemu ya wajumbe zaidi ya 820 wa Mkutano huo wakimsikiliza Mzee katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea a.k.a Nachi.
Na huyu? Anaitwa Mathias Chikawe au Matth kwa vijana wa zamani. Hapa alikuwa akilonga kuhusu utekelezaji wa maagizo ya Chama kutoka mwaka 2005 a.k.a Ilani na kusema mambo kibao yamefanywa. Alimwaga kijitabu chenye 'details' za yaliyofanyika na Makatibu Kata wakambana agombee tena this year!