Monday, September 20, 2010

JESHI LA POLISI LAPEWA ZANA ZA KAZI

Benas Mayogu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria akimkabidhi Afande Peter Kivuyo, Naibu Kamishna wa Polisi kutoka Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai baadhi ya vifaa vya upelelezi vilivyonunuliwa kupitia Programu ya Maboresho ya Sekta ya Sheria (LSRP) inayoratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria. Vifaa hivyo ni Kamera, Computers, Printers na vina thamani ya zaidi ya Shs 104 milioni. Baadhi ya vifaa vilivyonunuliwa.

Afande Kivuyo akizungumza katika hafla hiyo. Kulia kabisa ni Mpambanaji Afande Jamal Rwambow. Kushoto kabisa ni Mchumi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Emma Mayeji.

No comments:

Post a Comment